Robert Schumann

Robert Schumann (Zwickau, Saxony, 8 Juni 1810 - 29 Julai 1856) alikuwa mtunzi maarufu wa sanaa mbalimbali kutoka Ujerumani. Aliishi wakati wa Romantic (zama za nyimbo maarufu za karne ya 18-19). Alisitisha mpango wake wa kuwa mpigakinanda katika kumbi kwa sababu ya jeraha alilokuwa nalo katika mkono. Alichapisha magazeti ya muziki na kuandika makala chungu nzima zinazohusu miziki yote aliyotunga na kuimba.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search